naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 40

Chagua sentensi yenye kihisishi sahihi.

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uakifishaji

40. Chagua sentensi yenye kihisishi sahihi.

  1. ALo! Kumbe ulikuwa hapa.
  2. BLo kumbe ulikuwa hapa
  3. CKumbe ulikuwa hapa lo!
  4. DLo kumbe ulikuwa

Answer

A. Lo! Kumbe ulikuwa hapa.

Kihisishi "Lo" huja mwanzoni na hufuatwa na alama ya hisi (!), na sentensi huishia kwa kitone.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test