CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 39
Kamilisha methali: Samaki mkunje ___.
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
39. Kamilisha methali: Samaki mkunje ______.
- Aangali mbichi
- Bakiwa mkavu
- Cakiwa mkubwa
- Dakiwa mdogo
Answer
A. angali mbichi
Methali kamili ni "Samaki mkunje angali mbichi": mtoto hufunzwa tabia njema angali mdogo.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi yenye kihisishi sahihi.Question 40
- Maneno haya huandikwa kwa mpangilio upi kwenye kamusi? (i) daraja, (ii) darasa, (iii) dawa, (iv) dariQuestion 41
- Badilisha ukubwa wa sentensi: Mbwa mdogo alilala.Question 42
- Aina ya neno Huyu katika sentensi ifuatayo ni: Huyu mtoto ana akili nyingi.Question 43
- Chakula kimepik___.Question 44
- Wingi wa neno kitabu ni:Question 45