CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 37
Chagua sentensi yenye kielezi cha wakati.
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vielezi
37. Chagua sentensi yenye kielezi cha wakati.
- AJana alienda sokoni.
- BAnaimba vizuri.
- CAnatembea shuleni.
- DAnakula haraka.
Answer
A. Jana alienda sokoni.
"Jana" inaeleza wakati kitendo kilipotokea. "Vizuri" na "haraka" ni vielezi vya namna, na "shuleni" ni cha mahali.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Sauti ya mb katika neno mbio ni:Question 38
- Kamilisha methali: Samaki mkunje ___.Question 39
- Chagua sentensi yenye kihisishi sahihi.Question 40
- Maneno haya huandikwa kwa mpangilio upi kwenye kamusi? (i) daraja, (ii) darasa, (iii) dawa, (iv) dariQuestion 41
- Badilisha ukubwa wa sentensi: Mbwa mdogo alilala.Question 42
- Aina ya neno Huyu katika sentensi ifuatayo ni: Huyu mtoto ana akili nyingi.Question 43