CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 7
(f) Kamilisha jedwali ifuatayo kwa kutaja tofauti tatu kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi. (Alama 6)
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 8) · 6 marks · Topic: Fasihi, Simulizi na Andishi
ZOEZI II: FASIHI SIMULIZI (alama 15)
Jibu maswali yafuatayo kuhusu fasihi simulizi.
| Fasihi simulizi | Fasihi andishi | |
|---|---|---|
| i | ||
| ii | ||
| iii |
(f) Kamilisha jedwali ifuatayo kwa kutaja tofauti tatu kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi. (Alama 6)
Answer
1. Simulizi: huwasilishwa kwa mdomo – Andishi: huandikwa vitabuni. 2. Simulizi: hubadilika kulingana na msimulizi – Andishi: haibadiliki kirahisi. 3. Simulizi: haina mwandishi maalum (ni mali ya jamii) – Andishi: ina mwandishi maalum.
Linganisha uwasilishaji, ubadilikaji na umiliki.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- (a) Taja aina mbili za uhalifu wa mtandaoni zilizojitokeza katika kipande hiki cha novela. (Alama 2)Question 8
- (b) Eleza hatua mbili ambazo Katana alichukua baada ya kugundua kuwa ni mhanga wa uhalifu wa mtandaoni. (Alama 2)Question 9
- (c) Fafanua masuala mawili ya kijamii yanayoangaziwa katika sehemu hii ya novela. (Alama 2)Question 10
- (d) Eleza ujumbe mmoja muhimu unaopatikana katika sehemu hii ya novela. (Alama 1)Question 11
- (e) Taja vipengele viwili vya lugha vilivyotumika katika sehemu hii ya novela na kueleza matumizi yake. (Alama 2)Question 12
- (f) Kwa nini shule iliamua kuanzisha kampeni ya kuelimisha kuhusu usalama wa mtandaoni? (Alama 1)Question 13