CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 7
b) Ainisha maneno "Wanafunzi", "wawili" na "polepole" katika sentensi ifuatayo: Wanafunzi wawili walicheza polepole. (3 Alama)
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 14) · 3 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
b) Ainisha maneno "Wanafunzi", "wawili" na "polepole" katika sentensi ifuatayo:
Wanafunzi wawili walicheza polepole. (3 Alama)
Answer
Wanafunzi – nomino; wawili – kivumishi (cha idadi); polepole – kielezi (cha namna).
Wanafunzi ni jina la watu (nomino); wawili linaeleza idadi ya wanafunzi (kivumishi cha idadi); polepole linaeleza jinsi walivyocheza (kielezi cha namna).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- c) Tofautisha kati ya Nahau na Vitendawili kwa kutumia mifano miwili kwa kila kisa. (4 Alama)Question 8
- d) Eleza matumizi mawili ya nukta mkato (;) katika sentensi. (2 Alama)Question 9
- e) Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea (Future Continuous Tense). (1 Alama) (i) Mwanafunzi…Question 10
- e) Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea (Future Continuous Tense). (1 Alama) (ii) Watalii…Question 11
- f) Kamilisha nahau ifuatayo: Kula ___. (1 Alama)Question 12
- g) Toa maana ya nahau uliyokamilisha katika swali (f) hapo juu. Andika nahau yenyewe kisha maana yake. (1 Alama)Question 13