naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 10

e) Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea (Future Continuous Tense). (1 Alama) (i) Mwanafunzi anasoma kitabu.

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati na Hali

e) Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea (Future Continuous Tense). (1 Alama)
(i) Mwanafunzi anasoma kitabu.

Answer

Mwanafunzi atakuwa akisoma kitabu.

Wakati ujao hali ya kuendelea huundwa kwa “atakuwa” pamoja na kitenzi chenye -ki- au -na-: anasoma → atakuwa akisoma.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test