CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 11
e) Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea (Future Continuous Tense). (1 Alama) (ii) Watalii wanatembea jijini.
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati na Hali
e) Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea (Future Continuous Tense). (1 Alama)
(ii) Watalii wanatembea jijini.
Answer
Watalii watakuwa wakitembea jijini.
Wanatembea → watakuwa wakitembea: “watakuwa” huonyesha wakati ujao na “wakitembea” huonyesha kitendo kinachoendelea.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- f) Kamilisha nahau ifuatayo: Kula ___. (1 Alama)Question 12
- g) Toa maana ya nahau uliyokamilisha katika swali (f) hapo juu. Andika nahau yenyewe kisha maana yake. (1 Alama)Question 13
- ZOEZI IV: Novella (Alama: 10) (a) Dhamira kuu ya sehemu hii ni ipi? (alama 2)Question 14
- (b) Bainisha mandhari moja katika sehemu hii. (alama 1)Question 15
- (c) Eleza sifa mbili za Zuberi na sifa moja ya wazazi wake. (alama 3)Question 16
- (d) Taja methali moja inayoweza kufaa kueleza kisa hiki. (alama 2)Question 17