CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 6
SEHEMU B (Alama: 25) ZOEZI III: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA (Alama: 15) a) Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili tofauti ya neno "mto". (2 Alama)
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 14) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Matumizi ya Maneno
SEHEMU B (Alama: 25)
ZOEZI III: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA (Alama: 15)
a) Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili tofauti ya neno "mto". (2 Alama)
Answer
(i) Mto Nile unapita katika nchi nyingi za Afrika. (ii) Nililala nikiwa nimeegemeza kichwa kwenye mto laini.
Mto ni mkondo mkubwa wa maji unaotiririka (k.m. Mto Tana), na pia ni kifaa laini cha kuegemeza kichwa unapolala.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- b) Ainisha maneno "Wanafunzi", "wawili" na "polepole" katika sentensi ifuatayo: Wanafunzi wawili walicheza polepole.…Question 7
- c) Tofautisha kati ya Nahau na Vitendawili kwa kutumia mifano miwili kwa kila kisa. (4 Alama)Question 8
- d) Eleza matumizi mawili ya nukta mkato (;) katika sentensi. (2 Alama)Question 9
- e) Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea (Future Continuous Tense). (1 Alama) (i) Mwanafunzi…Question 10
- e) Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea (Future Continuous Tense). (1 Alama) (ii) Watalii…Question 11
- f) Kamilisha nahau ifuatayo: Kula ___. (1 Alama)Question 12