CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 30
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 30.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi kati ya majibu manne uliyopewa baada ya kifungu.
"Kocha __26__ mipira ya kuchezea hapa na __27__ ya ziada." Nahodha alimweleza mchezaji. "Hakikisha kuwa __28__ kila asubuhi," aliendelea nahodha huyo. __29__ "Ninajua fika kuwa __30__ afya ni bora kuliko kukaa bila mazoezi." Mchezaji alijibu kwa furaha.
Mchezaji yule __31__ haraka huku amebeba vifaa vyake na kuelekea uwanjani. Katika siku tatu __32__, mchezaji __33__ maagizo ya kocha wake. Alifanya mazoezi kwa bidii sana __34__ kulala mchana kutwa, alijifanyia mazoezi uwanjani. __35__ muda wake kwa mambo yasiyo na faida mwilini.
30. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 30.
- Akuambua
- Bkuchunguza
- Ckufahamu
- Dkutafuta
Answer
D. kutafuta
Kutafuta afya ni bora kuliko kukaa bila mazoezi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 31.Question 31
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 32.Question 32
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 33.Question 33
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 34.Question 34
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 35.Question 35
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi. 36. Maneno tata na data yana sauti zinazokaribiana. Ni neno lipi…Question 36