naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29

Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 29.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi kati ya majibu manne uliyopewa baada ya kifungu.
"Kocha __26__ mipira ya kuchezea hapa na __27__ ya ziada." Nahodha alimweleza mchezaji. "Hakikisha kuwa __28__ kila asubuhi," aliendelea nahodha huyo. __29__ "Ninajua fika kuwa __30__ afya ni bora kuliko kukaa bila mazoezi." Mchezaji alijibu kwa furaha.
Mchezaji yule __31__ haraka huku amebeba vifaa vyake na kuelekea uwanjani. Katika siku tatu __32__, mchezaji __33__ maagizo ya kocha wake. Alifanya mazoezi kwa bidii sana __34__ kulala mchana kutwa, alijifanyia mazoezi uwanjani. __35__ muda wake kwa mambo yasiyo na faida mwilini.

29. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 29.

  1. A"Nitazingatia maagizo yako, kocha."
  2. B"Nitazingatia maagizo yako. kocha!"
  3. C"Nitazingatia maagizo yako, kocha?
  4. D"Nitazingatia maagizo yako, kocha.

Answer

A. "Nitazingatia maagizo yako, kocha."

Alama za usemi zimefungwa na kikomo kipo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test