naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 7

Eleza mitindo mitatu ya uwasilishaji wa nyimbo za aina hii.

From Kiswahili Paper 2 — October 2026 Collection · 3 marks · Topic: Kusoma, Fasihi simulizi

TINDI MWANANGU
Tindi mwanangu, tinditindi,
Usilie mwanangu, tinditindi,
Nakupenda mwanangu,
Tinditindi mwanangu tinditindi.
Tinditindi mwanangu tinditindi,
Nitakupa peremende tinditindi,
Na asali mwanangu, tinditindi,
Tinditindi mwanangu tinditindi.
Sasa lala mwanangu,
Pumzika mwanangu,
Tinditindi mwanangu,
Tii-tii-tii mwanangu,
Titi.

Eleza mitindo mitatu ya uwasilishaji wa nyimbo za aina hii.

Answer

Mwimbaji hutumia sauti ya upole, humbembeleza mtoto kwa kumpapasa au kumbeba kwa utaratibu, na humtazama usoni anapoimba.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test