CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 11
Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika Fasihi?
From Kiswahili Paper 2 — October 2026 Collection · 3 marks · Topic: Kusoma, Fasihi simulizi
Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika Fasihi?
Answer
Mbinu za lugha huongeza mvuto wa kazi, husisitiza ujumbe na husaidia msomaji au msikilizaji kuelewa maana kwa urahisi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Andika sifa tatu za Fasihi Simulizi.Question 12
- Andika sifa mbili za Zingo zinazojitokeza katika dondoo hili.Question 13
- Andika aina mbili za mandhari zinazojitokeza katika sehemu hii ya novela.Question 14
- Eleza masuala matatu ambayo yameshughulikiwa katika dondoo hili.Question 15
- Katika dondoo hili, mwandishi ametumia mbinu mbalimbali za lugha kuwasilisha kazi yake. Eleza mbinu mbili alizotumia.Question 16
- Eleza funzo moja unalopata kutokana na tabia ya Zingo.Question 17