CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 6
Unafikiri wimbo huu huimbwa na kina nani?
From Kiswahili Paper 2 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Kusoma, Fasihi simulizi
TINDI MWANANGU
Tindi mwanangu, tinditindi,
Usilie mwanangu, tinditindi,
Nakupenda mwanangu,
Tinditindi mwanangu tinditindi.
Tinditindi mwanangu tinditindi,
Nitakupa peremende tinditindi,
Na asali mwanangu, tinditindi,
Tinditindi mwanangu tinditindi.
Sasa lala mwanangu,
Pumzika mwanangu,
Tinditindi mwanangu,
Tii-tii-tii mwanangu,
Titi.
Tindi mwanangu, tinditindi,
Usilie mwanangu, tinditindi,
Nakupenda mwanangu,
Tinditindi mwanangu tinditindi.
Tinditindi mwanangu tinditindi,
Nitakupa peremende tinditindi,
Na asali mwanangu, tinditindi,
Tinditindi mwanangu tinditindi.
Sasa lala mwanangu,
Pumzika mwanangu,
Tinditindi mwanangu,
Tii-tii-tii mwanangu,
Titi.
Unafikiri wimbo huu huimbwa na kina nani?
Answer
Wazazi au walezi wa watoto.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Eleza mitindo mitatu ya uwasilishaji wa nyimbo za aina hii.Question 7
- Eleza tanzu mbili za Fasihi Simulizi.Question 8
- Eleza umuhimu wa Fasihi Simulizi katika jamii.Question 9
- Je, ploti ni nini?Question 10
- Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika Fasihi?Question 11
- Andika sifa tatu za Fasihi Simulizi.Question 12