CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Neno lipi kati ya haya linaonyesha idadi?
From Test 14 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Namba kwa Maneno
Neno lipi kati ya haya linaonyesha idadi?
- APesa
- BMaji
- CWatoto
- DTano
Answer
D. Tano
"Tano" ni namba, hivyo ndilo neno linaloonyesha idadi.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Andika maana ya methali: Akili ni mali.Question 28
- Neno lipi lina maana tofauti na mengine?Question 29
- SEHEMU YA PILI: KUANDIKA. Andika insha inayovutia kuhusu: SIKU YA KUPANDA MITI SHULENI.Question 30
- Soma mazungumzo haya kisha ujibu maswali. (Ni darasani ambapo wanafunzi wametulia kama maji mtungini. Ghafla mwalimu…Question 1
- Ni kweli kusema kuwa;Question 2
- Kamusi huonyesha nini?Question 3