CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 8
Soma hadithi ifuatayo kwa sauti.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) — Kusikiliza na Kuongea · 20 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Baba alipokata kauli ya kupunguza shughuli, aliendelea kuwa na afya nzuri. Tuliendelea kuzungumza naye mambo aliyofurahia kusikiliza, kama vile maendeleo tuliyopata shuleni. Hasa, alifurahi tulipomwambia tulijifunza kuhusu jinsi ya kuzuia magonjwa. Tulimweleza pia kuhusu magonjwa yanayotokana na hali za maisha, kama vile kisukari na shinikizo la damu.
Soma hadithi ifuatayo kwa sauti.
Answer
Mama alikumbuka kuwa baba alisahau kumeza dawa. Aliingia chumbani na kutoa vidonge viwili vya dawa kwa baba aweze kumeza kwa maji. Baba alikuwa na ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu. Alituambia ugonjwa wake ulitokana na hali ya maisha katika harakati zake za biashara, ambazo mara zinapanda na mara zinashuka. Alinunua bidhaa kutoka Uchina na kuziuza hapa nchini. Ingawa aliipenda biashara hiyo, aliichukia hali ile ya ugonjwa, hivyo akawa ameamua kupunguza shughuli zake na kuongeza muda wa kupumzika nyumbani. Baba alipokata kauli ya kupunguza shughuli, aliendelea kuwa na afya nzuri.…
Soma kwa sauti inayosikika, kwa mwendo unaofaa, simama kwenye vituo, onyesha hisia, na usiruke wala kurudia maneno.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Anza mazungumzo kwa maamkizi.Question 1
- Taja maneno ya adabu ambayo kama kiranja unawasisitizia wanafunzi kuyatumia darasani.Question 2
- Eleza mwalimu umuhimu wa kuwa mwanafunzi mwenye heshima na adabu.Question 3
- Toa maelezo mafupi ya vile utakavyoonyesha heshima na adabu kwa mgeni aliyealikwa nyumbani kwenu.Question 4
- 5a. Taja maneno ya heshima na adabu badala ya maneno uliyopewa: Mtoto anahara.Question 5
- 5b. Taja maneno ya heshima badala ya: Fatuma ana mimba.Question 6