CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026: Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) — Kusikiliza na Kuongea
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) — Kusikiliza na Kuongea · Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) — Kusikiliza na Kuongea · 8 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 8 questions with answers
- Question 1: Anza mazungumzo kwa maamkizi.Answer: Shikamoo mwalimu.
- Question 2: Taja maneno ya adabu ambayo kama kiranja unawasisitizia wanafunzi kuyatumia darasani.Answer: Tafadhali, asante na samahani.
- Question 3: Eleza mwalimu umuhimu wa kuwa mwanafunzi mwenye heshima na adabu.Answer: Husaidia kujenga uhusiano mzuri na walimu na wenzako, na kujifunza kwa utulivu.
- Question 4: Toa maelezo mafupi ya vile utakavyoonyesha heshima na adabu kwa mgeni aliyealikwa nyumbani kwenu.Answer: Nitamwamkia kwa heshima, nitamkaribisha kiti na kumpa kinywaji, na kuzungumza naye kwa maneno ya adabu.
- Question 5: 5a. Taja maneno ya heshima na adabu badala ya maneno uliyopewa: Mtoto anahara.Answer: Mtoto anaendesha.
- Question 6: 5b. Taja maneno ya heshima badala ya: Fatuma ana mimba.Answer: Fatuma ni mja mzito.
- Question 7: 5c. Taja maneno ya heshima badala ya: Halima amezaa.Answer: Halima amejifungua.
- Question 8: Soma hadithi ifuatayo kwa sauti.Answer: Mama alikumbuka kuwa baba alisahau kumeza dawa. Aliingia chumbani na kutoa vidonge viwili vya dawa kwa baba…