naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 4

Toa maelezo mafupi ya vile utakavyoonyesha heshima na adabu kwa mgeni aliyealikwa nyumbani kwenu.

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) — Kusikiliza na Kuongea · 2 marks · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo

Ningependa tuzungumze kuhusu heshima na adabu. Wewe ni kiranja wa darasa lako na una mazungumzo na mwalimu wako wa darasa.
Sikiliza maelekezo ya mwalimu (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.

4. Toa maelezo mafupi ya vile utakavyoonyesha heshima na adabu kwa mgeni aliyealikwa nyumbani kwenu.

🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.

Answer

Nitamwamkia kwa heshima, nitamkaribisha kiti na kumpa kinywaji, na kuzungumza naye kwa maneno ya adabu.

Mgeni ni mtu wa kuheshimiwa.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test