CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 6
5b. Taja maneno ya heshima badala ya: Fatuma ana mimba.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) — Kusikiliza na Kuongea · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo
Ningependa tuzungumze kuhusu heshima na adabu. Wewe ni kiranja wa darasa lako na una mazungumzo na mwalimu wako wa darasa.
Sikiliza maelekezo ya mwalimu (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.
5b. Taja maneno ya heshima badala ya: Fatuma ana mimba.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Fatuma ni mja mzito.
Tasfida ya mimba.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- 5c. Taja maneno ya heshima badala ya: Halima amezaa.Question 7
- Soma hadithi ifuatayo kwa sauti.Question 8
- Anza mazungumzo kwa maamkizi.Question 1
- Taja maneno ya adabu ambayo kama kiranja unawasisitizia wanafunzi kuyatumia darasani.Question 2
- Eleza mwalimu umuhimu wa kuwa mwanafunzi mwenye heshima na adabu.Question 3
- Toa maelezo mafupi ya vile utakavyoonyesha heshima na adabu kwa mgeni aliyealikwa nyumbani kwenu.Question 4