CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2025 · Question 22
Neno lipi linaonyesha wingi wa 'mtu'?
From Kiswahili — End of Year Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Chagua jibu sahihi kwa kila swali.
27. Neno lipi linaonyesha wingi wa 'mtu'?
- AWatu
- BMiti
- CJitu
- DVitu
Answer
A. Watu
Wingi wa mtu ni watu.