CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2025 · Question 2
Leo ni siku gani shuleni?
From Kiswahili — End of Year Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 1 – 5.
Jua linaangaza, tuko shuleni. Leo ni siku ya michezo. Watoto wote tumevalia sare za michezo. Kuna riadha, kuruka juu, kuruka mbali na kucheza mpira. Walimu wetu wako pamoja nasi kutushangilia. Familia zetu pia zimekuja kutuona. Tunafurahi sana kushiriki katika michezo hii. Michezo huufanya mwili kuwa na afya.
2. Leo ni siku gani shuleni?
- AMasomo
- BMichezo
- CKazi
- DMtihani
Answer
B. Michezo
"Leo ni siku ya michezo."