CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2025 · Question 3
Watoto wamevalia nini?
From Kiswahili — End of Year Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 1 – 5.
Jua linaangaza, tuko shuleni. Leo ni siku ya michezo. Watoto wote tumevalia sare za michezo. Kuna riadha, kuruka juu, kuruka mbali na kucheza mpira. Walimu wetu wako pamoja nasi kutushangilia. Familia zetu pia zimekuja kutuona. Tunafurahi sana kushiriki katika michezo hii. Michezo huufanya mwili kuwa na afya.
3. Watoto wamevalia nini?
- ASare za shule
- BNguo za kawaida
- CSare za michezo
- DSare za kazi
Answer
C. Sare za michezo
"Watoto wote tumevalia sare za michezo."