CBC Grade 4 Kiswahili End Term 3 Exam 2025 · Question 25
Chagua neno ambalo lina maana sawa na 'furaha':
From Kiswahili — End of Year Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Chagua jibu sahihi kwa kila swali.
30. Chagua neno ambalo lina maana sawa na 'furaha':
- AHuzuni
- BUchungu
- CShangwe
- DHasira
Answer
C. Shangwe
Shangwe ni furaha kubwa. Huzuni, uchungu na hasira ni kinyume chake.