CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 24
Mwanawe Bi. Tumaini aliitwa nani?
From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi hii kisha ujibu maswali
BI. WIVU NA MWANAWE
Mzee Tana alikuwa na wake wawili na watoto wawili. Alikuwepo Bi. Tumaini na mwanawe Bahati na Bi. Wivu na mwanawe Tamaa. Shamba la familia lilikuwa kando ya mto karibu na msitu. Walilima na kupanda mbegu za mimea mbalimbali. Walitia mbolea na kuufanya udongo uwe na rutuba. Walipata mavuno mengi.
Siku moja Bahati alitengeneza zumari ya kipekee. Alipoicheza, watu walishangilia na kumzawadia. Bi. Wivu alimwamuru Tamaa, “Tengeneza zumari uicheze kama mwenzako Bahati”. Tamaa alitengeneza zumari, lakini haikupendeza alipoicheza.
Mwanawe Bi. Tumaini aliitwa nani?
Answer
Bahati
Bi. Tumaini na mwanawe Bahati.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Walitia mbolea na kuufanya udongo uwe na ___Question 25
- Kichwa cha hadithi ni ___Question 26
- Bahati alipoicheza zumari watu walishangilia na ___Question 27
- SEHEMU A: KUSOMA Soma kifungu hiki kwa sauti.Question 1
- SEHEMU B ANDIKA SENTENSI TANO KUHUSU MWALIMU WAKO (Unaweza kutumia jina la kubuni.)Question 2
- Jaza mapengo ukitumia (a, e, i, o, u) M___zing___raQuestion 3