naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 27

Bahati alipoicheza zumari watu walishangilia na ___

From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi hii kisha ujibu maswali

BI. WIVU NA MWANAWE
Mzee Tana alikuwa na wake wawili na watoto wawili. Alikuwepo Bi. Tumaini na mwanawe Bahati na Bi. Wivu na mwanawe Tamaa. Shamba la familia lilikuwa kando ya mto karibu na msitu. Walilima na kupanda mbegu za mimea mbalimbali. Walitia mbolea na kuufanya udongo uwe na rutuba. Walipata mavuno mengi.
Siku moja Bahati alitengeneza zumari ya kipekee. Alipoicheza, watu walishangilia na kumzawadia. Bi. Wivu alimwamuru Tamaa, “Tengeneza zumari uicheze kama mwenzako Bahati”. Tamaa alitengeneza zumari, lakini haikupendeza alipoicheza.

Bahati alipoicheza zumari watu walishangilia na ___________________

Answer

kumzawadia

Watu walishangilia na kumzawadia.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test