CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: End Term 1 Exam 2025 (Set 3)
Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) · End Term 1 Exam 2025 (Set 3) · 27 questions
Topics: Kusoma, Kuandika, Msamiati, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 27 questions with answers
- Question 1: SEHEMU A: KUSOMA Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Mzee Johari alikuwa na shamba kubwa na wafanyikazi wengi. Alifuga ng’ombe na mbuzi ambao walikuwa na afya…
- Question 2: SEHEMU B ANDIKA SENTENSI TANO KUHUSU MWALIMU WAKO (Unaweza kutumia jina la kubuni.)Answer: Mwalimu wangu anaitwa Bi. Achieng. Yeye hufunza Kiswahili. Yeye ni mpole. Hutufunza kusoma na kuandika.…
- Question 3: Jaza mapengo ukitumia (a, e, i, o, u) M___zing___raAnswer: Mazingira
- Question 4: Sh___ m___ niAnswer: Shimoni
- Question 5: Mbol___aAnswer: Mbolea
- Question 6: R___t___baAnswer: Rutuba
- Question 7: Kw___kweAnswer: Kwekwe
- Question 8: Jaza pengo kwa neno sahihi (wauzaji, buchari, ratili, kunadi) Kifaa cha kupimia nyama ___Answer: C. ratili
- Question 9: Wachuuzi ___Answer: A. wauzaji
- Question 10: Mahali pa kuuzia nyama ___Answer: B. buchari
- Question 11: Kutangaza bidhaa kwa sauti ya juu ___Answer: D. kunadi
- Question 12: Andika sentensi hizi kwa wingi Goti hili linauma ___Answer: Magoti haya yanauma.
- Question 13: Kikombe hiki ni chake ___Answer: Vikombe hivi ni vyao.
- Question 14: Kalamu hii ni yake ___Answer: Kalamu hizi ni zao.
- Question 15: Meza yake imevunjika ___Answer: Meza zao zimevunjika.
- Question 16: Mtoto analia ___Answer: Watoto wanalia.
- Question 17: Mpira umepasuka ___Answer: Mipira imepasuka.
- Question 18: Ambatanisha mwezi na nambari JanuariAnswer: C. 1
- Question 19: JulaiAnswer: D. 7
- Question 20: MachiAnswer: A. 3
- Question 21: SeptembaAnswer: B. 9
- Question 22: Andika kinyume cha vitenzi hivi alisafishaAnswer: alichafua
- Question 23: alijengaAnswer: alibomoa
- Question 24: Mwanawe Bi. Tumaini aliitwa nani?Answer: Bahati
- Question 25: Walitia mbolea na kuufanya udongo uwe na ___Answer: rutuba
- Question 26: Kichwa cha hadithi ni ___Answer: Bi. Wivu na Mwanawe
- Question 27: Bahati alipoicheza zumari watu walishangilia na ___Answer: kumzawadia