naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 1

SEHEMU A: KUSOMA Soma kifungu hiki kwa sauti.

From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Mzee Johari alikuwa na shamba kubwa na wafanyikazi wengi. Alifuga ng’ombe na mbuzi ambao walikuwa na afya nzuri. Katikati ya mwaka jana, mzee Johari hakupata mazao mengi hata baada ya kulima shamba lake na kupanda. Alimtembelea mshauri wa kilimo aliyeishi karibu naye ili apate ushauri wa ukulima bora, Bi. Imani.

SEHEMU A: KUSOMA
Soma kifungu hiki kwa sauti.

Answer

Mzee Johari alikuwa na shamba kubwa na wafanyikazi wengi. Alifuga ng’ombe na mbuzi ambao walikuwa na afya nzuri. Katikati ya mwaka jana, mzee Johari hakupata mazao mengi hata baada ya kulima shamba lake na kupanda. Alimtembelea mshauri wa kilimo aliyeishi karibu naye ili apate ushauri wa ukulima bora, Bi. Imani.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test