naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 1

a) Taja majina ya wasichana hawa ambao katika hadithi; ___ na ___

From Kiswahili — KEYA 2025 Predictions (Set 15) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi hii kisha uyajibu maswali;

Saida na Sauda ni wasichana wazuri na wenye nidhamu njema. Kila siku wanaamka asubuhi na kujitayarisha kuenda shuleni. Wanavaa sare zao za shule na baada ya kiamsha kinywa wao huweka mikoba yao migongoni na kuanza mwendo kuelekea shuleni. Mikobani mwao mna madaftari, kalamu na vifutio.

a) Taja majina ya wasichana hawa ambao katika hadithi; ____________ na _____________

Answer

Saida na Sauda

Wasichana ni Saida na Sauda.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test