CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 7
g) Taja vitu ambavyo vinapatikana katika mikoba yao; ___, ___, ___
From Kiswahili — KEYA 2025 Predictions (Set 15) · 3 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi hii kisha uyajibu maswali;
Saida na Sauda ni wasichana wazuri na wenye nidhamu njema. Kila siku wanaamka asubuhi na kujitayarisha kuenda shuleni. Wanavaa sare zao za shule na baada ya kiamsha kinywa wao huweka mikoba yao migongoni na kuanza mwendo kuelekea shuleni. Mikobani mwao mna madaftari, kalamu na vifutio.
g) Taja vitu ambavyo vinapatikana katika mikoba yao;
____________, ___________, __________
Answer
madaftari, kalamu, vifutio
Mikobani mwao mna madaftari, kalamu na vifutio.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.