CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 5
e) Nguo rasmi za shule huitwa ___
From Kiswahili — KEYA 2025 Predictions (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi hii kisha uyajibu maswali;
Saida na Sauda ni wasichana wazuri na wenye nidhamu njema. Kila siku wanaamka asubuhi na kujitayarisha kuenda shuleni. Wanavaa sare zao za shule na baada ya kiamsha kinywa wao huweka mikoba yao migongoni na kuanza mwendo kuelekea shuleni. Mikobani mwao mna madaftari, kalamu na vifutio.
e) Nguo rasmi za shule huitwa _________
Answer
sare
Nguo rasmi za shule ni sare.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.