CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 3
c) Hawa wasichana huamka wakati gani?
From Kiswahili — KEYA 2025 Predictions (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi hii kisha uyajibu maswali;
Saida na Sauda ni wasichana wazuri na wenye nidhamu njema. Kila siku wanaamka asubuhi na kujitayarisha kuenda shuleni. Wanavaa sare zao za shule na baada ya kiamsha kinywa wao huweka mikoba yao migongoni na kuanza mwendo kuelekea shuleni. Mikobani mwao mna madaftari, kalamu na vifutio.
c) Hawa wasichana huamka wakati gani?
Answer
asubuhi
Kila siku wanaamka asubuhi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- d) Saida na Sauda hujitayarisha kila siku kuenda wapi?Question 4
- e) Nguo rasmi za shule huitwa ___Question 5
- f) Chakula chepesi cha asubuhi huitwa ___Question 6
- g) Taja vitu ambavyo vinapatikana katika mikoba yao; ___, ___, ___Question 7
- Andika majina ya picha hizi; a) ___Question 8
- Nini wingi wa maneno haya? a) Mwanafunzi___Question 14