CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 3 2025 · Question 38
b) Aliyeandika hadithi hii anaitwa nani?
From Kiswahili — KEYA Assessment 2025 (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi kisha ujibu maswali yake.
Jina langu ni Moshinu. Ninaishi katika kijiji cha Utotole. Kijiji hiki kina soko moja ambamo huuzwa vyakula na nguo mbalimbali. Bidhaa hizi huuzwa kwa bei nafuu. Kila Jumamosi, sisi huenda kuuza vyakula na mama yangu.
b) Aliyeandika hadithi hii anaitwa nani?
Answer
Moshinu
Hadithi inaanza: Jina langu ni Moshinu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- c) Moshinu huenda sokoni lini?Question 39
- d) Taja vitu ambavyo huuzwa sokoni. i) ii)Question 40
- e) Je, kijiji hiki kina soko?Question 41
- SEHEMU E: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu DUKANIQuestion 42
- SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Mzazi wako wa kiume anaitwa nani? Unaweza kutumia jina la kubuni.Question 1
- b) Mtaa wenu unaitwaje? Unaweza kutumia jina la kubuni.Question 2