CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 3 2025 · Question 42
SEHEMU E: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu DUKANI
From Kiswahili — KEYA Assessment 2025 (Set 15) · 5 marks · Topic: Kuandika, Kuandika Sentensi
SEHEMU E: KUANDIKA
Andika sentensi tano kuhusu
DUKANI
Answer
Dukani kuna bidhaa nyingi. Mama hununua sukari dukani. Muuzaji ni mpole. Tunalipa kwa pesa. Ninapenda kwenda dukani na mama.
Andika sentensi tano kamili kuhusu duka: vitu vinavyouzwa, muuzaji na jinsi unavyonunua.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Mzazi wako wa kiume anaitwa nani? Unaweza kutumia jina la kubuni.Question 1
- b) Mtaa wenu unaitwaje? Unaweza kutumia jina la kubuni.Question 2
- c) Ukienda dukani ni lazima uwe na nini?Question 3
- d) Mtu anayeuza dukani anaitwaje?Question 4
- e) Taja bidhaa mbili zinazonunuliwa dukani.Question 5
- SEHEMU B: KUSOMA 2. Soma maneno haya kwa sauti.Question 6