CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 3 2025 · Question 1
SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Mzazi wako wa kiume anaitwa nani? Unaweza kutumia jina la kubuni.
From Kiswahili — KEYA Assessment 2025 (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza
Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti. Unaweza kutumia jibu la kubuni.
SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
a) Mzazi wako wa kiume anaitwa nani? Unaweza kutumia jina la kubuni.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Baba yangu anaitwa Juma.
Jibu: Baba yangu anaitwa Juma.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- b) Mtaa wenu unaitwaje? Unaweza kutumia jina la kubuni.Question 2
- c) Ukienda dukani ni lazima uwe na nini?Question 3
- d) Mtu anayeuza dukani anaitwaje?Question 4
- e) Taja bidhaa mbili zinazonunuliwa dukani.Question 5
- SEHEMU B: KUSOMA 2. Soma maneno haya kwa sauti.Question 6
- SEHEMU B: SARUFI 3. Andika kwa herufi kubwa. a) shatiQuestion 7