CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 3 2025 · Question 41
e) Je, kijiji hiki kina soko?
From Kiswahili — KEYA Assessment 2025 (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi kisha ujibu maswali yake.
Jina langu ni Moshinu. Ninaishi katika kijiji cha Utotole. Kijiji hiki kina soko moja ambamo huuzwa vyakula na nguo mbalimbali. Bidhaa hizi huuzwa kwa bei nafuu. Kila Jumamosi, sisi huenda kuuza vyakula na mama yangu.
e) Je, kijiji hiki kina soko?
- ANdio
- BLa
Answer
A. Ndio
Kijiji hiki kina soko moja.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU E: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu DUKANIQuestion 42
- SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Mzazi wako wa kiume anaitwa nani? Unaweza kutumia jina la kubuni.Question 1
- b) Mtaa wenu unaitwaje? Unaweza kutumia jina la kubuni.Question 2
- c) Ukienda dukani ni lazima uwe na nini?Question 3
- d) Mtu anayeuza dukani anaitwaje?Question 4
- e) Taja bidhaa mbili zinazonunuliwa dukani.Question 5