CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 28
Wingi wa neno kijiji ni nini?
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali
Katika kijiji cha Uyemba kuna maduka mengi. Duka la Aol ndilo duka ambalo hufurahiwa na wateja wengi kwa sababu wateja wote hushughulikiwa vyema. Duka hilo lina bidhaa kama vile mikate, maziwa, unga, soda, sukari, sabuni, chumvi na mafuta. Duka hili lina kila kitu wanachohitaji wananchi wa Uyemba.
Wazazi hutuma watoto wao dukani kwa Aol.
2. Wingi wa neno kijiji ni nini?
Answer
vijiji
Kijiji (KI-VI) kwa wingi ni vijiji.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- ___ hutumwa dukani kwa Aol. (watoto, bidhaa, wazazi)Question 29
- Taja bidhaa nne zinazopatikana kwa duka la Aol.Question 30
- ZOEZI LA 5: KUANDIKA Tunga sentensi kutumia a) MkateQuestion 31
- ZOEZI LA 1: KUSIKILIZA NA KUONGEA a) Mzazi wa kiume ni?Question 1
- b) Mama wa baba utamwita nani?Question 2
- c) Dada ya mama ni nani?Question 3