CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 29
___ hutumwa dukani kwa Aol. (watoto, bidhaa, wazazi)
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali
Katika kijiji cha Uyemba kuna maduka mengi. Duka la Aol ndilo duka ambalo hufurahiwa na wateja wengi kwa sababu wateja wote hushughulikiwa vyema. Duka hilo lina bidhaa kama vile mikate, maziwa, unga, soda, sukari, sabuni, chumvi na mafuta. Duka hili lina kila kitu wanachohitaji wananchi wa Uyemba.
Wazazi hutuma watoto wao dukani kwa Aol.
3. _________ hutumwa dukani kwa Aol. (watoto, bidhaa, wazazi)
- Awatoto
- Bbidhaa
- Cwazazi
Answer
A. watoto
Wazazi hutuma watoto wao dukani kwa Aol.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Taja bidhaa nne zinazopatikana kwa duka la Aol.Question 30
- ZOEZI LA 5: KUANDIKA Tunga sentensi kutumia a) MkateQuestion 31
- ZOEZI LA 1: KUSIKILIZA NA KUONGEA a) Mzazi wa kiume ni?Question 1
- b) Mama wa baba utamwita nani?Question 2
- c) Dada ya mama ni nani?Question 3
- d) Mwalimu wako huitwa nani? Unaweza kutumia jina la kubuni.Question 4