CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 30
Taja bidhaa nne zinazopatikana kwa duka la Aol.
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 4 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali
Katika kijiji cha Uyemba kuna maduka mengi. Duka la Aol ndilo duka ambalo hufurahiwa na wateja wengi kwa sababu wateja wote hushughulikiwa vyema. Duka hilo lina bidhaa kama vile mikate, maziwa, unga, soda, sukari, sabuni, chumvi na mafuta. Duka hili lina kila kitu wanachohitaji wananchi wa Uyemba.
Wazazi hutuma watoto wao dukani kwa Aol.
4. Taja bidhaa nne zinazopatikana kwa duka la Aol.
Answer
mikate, maziwa, unga, sukari
Duka lina mikate, maziwa, unga, soda, sukari, sabuni, chumvi na mafuta.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- ZOEZI LA 5: KUANDIKA Tunga sentensi kutumia a) MkateQuestion 31
- ZOEZI LA 1: KUSIKILIZA NA KUONGEA a) Mzazi wa kiume ni?Question 1
- b) Mama wa baba utamwita nani?Question 2
- c) Dada ya mama ni nani?Question 3
- d) Mwalimu wako huitwa nani? Unaweza kutumia jina la kubuni.Question 4
- e) Una umri wa miaka mingapi? Unaweza kutumia jibu la kubuni.Question 5