naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 27

ZOEZI LA 4: UFAHAMU 1. Mwenye duka linalopendwa aliitwa?

From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali

Katika kijiji cha Uyemba kuna maduka mengi. Duka la Aol ndilo duka ambalo hufurahiwa na wateja wengi kwa sababu wateja wote hushughulikiwa vyema. Duka hilo lina bidhaa kama vile mikate, maziwa, unga, soda, sukari, sabuni, chumvi na mafuta. Duka hili lina kila kitu wanachohitaji wananchi wa Uyemba.
Wazazi hutuma watoto wao dukani kwa Aol.

ZOEZI LA 4: UFAHAMU
1. Mwenye duka linalopendwa aliitwa?

Answer

Aol

Duka la Aol ndilo linalopendwa.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test