CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.
From Kiswahili — Revision 3 (2026) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Ugonjwa wa korona unaweza kudhuru mtu yeyote. Kuna ishara mbalimbali za korona. Mgonjwa anaweza kuwa na uchovu mwilini, joto jingi mwilini na kupoteza ladha ya chakula. Mtu hubebwa kwa machela akiwa amezidiwa na ugonjwa. Anapofika hospitalini analipa ada ya kadi.
SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti.
Answer
Ugonjwa wa korona unaweza kudhuru mtu yeyote. Kuna ishara mbalimbali za korona. Mgonjwa anaweza kuwa na uchovu mwilini, joto jingi mwilini na kupoteza ladha ya chakula. Mtu hubebwa kwa machela akiwa amezidiwa na ugonjwa. Anapofika hospitalini analipa ada ya kadi.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU C: UFAHAMU 1. Yohana alikuwa na paka wangapi?Question 6
- Kwa nini Yohana hufika nyumbani haraka?Question 7
- Nani aliambia Yohana akamtafute paka wake barabarani?Question 8
- Kwa nini Yohana alilia kwa huzuni sana?Question 9
- Kwa nini Yohana alishikwa na wasiwasi siku moja alipotoka shuleni?Question 10
- SEHEMU YA D: SARUFI 1. Tumia 'sisi' 'mimi' 'wewe' 'nyinyi' na 'wao' kujaza pengo zilizoachwa wazi. a) ___ nitaenda…Question 11