CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 3 (2026)
Kiswahili — Revision 3 (2026) · Revision 3 (2026) · 31 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: ZOEZI LA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Natasha yuko katika gredi gani?Answer: Gredi ya tatu.
- Question 2: Natasha ana umri wa miaka mingapi?Answer: Miaka minane.
- Question 3: Taja vitendo viwili Natasha anapenda kufanya.Answer: Kusoma na kuimba.
- Question 4: Natasha ni msichana mwenye nini nyumbani na pia shuleni?Answer: Adabu.
- Question 5: SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Ugonjwa wa korona unaweza kudhuru mtu yeyote. Kuna ishara mbalimbali za korona. Mgonjwa anaweza kuwa na…
- Question 6: SEHEMU C: UFAHAMU 1. Yohana alikuwa na paka wangapi?Answer: wawili
- Question 7: Kwa nini Yohana hufika nyumbani haraka?Answer: ili awalishe paka na acheze nao
- Question 8: Nani aliambia Yohana akamtafute paka wake barabarani?Answer: jirani yake
- Question 9: Kwa nini Yohana alilia kwa huzuni sana?Answer: paka wake alikufa baada ya kukanyagwa na lori
- Question 10: Kwa nini Yohana alishikwa na wasiwasi siku moja alipotoka shuleni?Answer: hakumpata mmoja wa paka wake
- Question 11: SEHEMU YA D: SARUFI 1. Tumia 'sisi' 'mimi' 'wewe' 'nyinyi' na 'wao' kujaza pengo zilizoachwa wazi. a) ___ nitaenda shuleni kesho.Answer: B. mimi
- Question 12: b) ___ tutasafiri kesho.Answer: A. sisi
- Question 13: c) ___ ulinyunyuzia kabeji maji.Answer: C. wewe
- Question 14: d) ___ wanaishi jijini Mombasa.Answer: E. wao
- Question 15: e) ___ mtapita mtihani.Answer: D. nyinyi
- Question 16: Unda maneno ukitumia sauti hizi. a) bwAnswer: bwana
- Question 17: b) kwAnswer: kwaheri
- Question 18: Andika tarakimu hizi kwa maneno. a) 48Answer: arobaini na nane
- Question 19: b) 0Answer: sifuri
- Question 20: c) 75Answer: sabini na tano
- Question 21: Tumia maneno uliyopewa kujaza pengo zifuatazo. (rubani, mzalendo, trafiki, trekta) a) ___ ni mtu anayependa nchi yake.Answer: B. mzalendo
- Question 22: b) Mtu anayeendesha ndege huitwa ___Answer: A. rubani
- Question 23: c) Mkulima alitumia ___ kulima shamba kubwa.Answer: D. trekta
- Question 24: d) Taa zinazoongoza magari barabarani huitwa taa za ___Answer: C. trafiki
- Question 25: Andika kwa wingi. a) Jino lake linauma.Answer: Meno yake yanauma.
- Question 26: b) Kikombe chake kimepotea.Answer: Vikombe vyake vimepotea.
- Question 27: Tumia '-ako' au '-enu'. a) Wazazi ___ wamewasili.Answer: wenu
- Question 28: b) Mtoto ___ anatabasamu.Answer: wako
- Question 29: Chora vifaa hivi vya kusafisha mazingira. a) ufagioAnswer: Ufagio.
- Question 30: b) pipaAnswer: Pipa la taka.
- Question 31: ZOEZI 5: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu: SHULE YETUAnswer: Shule yetu ni kubwa. Ina madarasa mengi. Tuna uwanja mkubwa wa kuchezea. Walimu wetu ni wema. Ninaipenda…