naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7

Kwa nini Yohana hufika nyumbani haraka?

From Kiswahili — Revision 3 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma ufahamu kisha ujibu maswali yafuatayo.

Yohana ni mvulana wa Gredi ya tatu, ana paka wawili. Yeye anawapenda paka wake sana. Anapotoka shuleni, yeye hufika nyumbani haraka ili awalishe na acheze nao. Siku moja alifika na hakumpata mmoja wao. Alishikwa na wasiwasi kwani hajawahi kuwaacha watoke nje peke yao. Alimtafuta kila mahali. Jirani yake mmoja alimwambia aende amtafute barabarani. Yohana alipoenda alimpata paka wake amelala kando ya barabara. Alikuwa amefariki baada ya kukanyagwa na lori, alilia kwa huzuni sana.

2. Kwa nini Yohana hufika nyumbani haraka?

Answer

ili awalishe paka na acheze nao

Hufika haraka ili awalishe paka wake na acheze nao.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test