CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9
Kwa nini Yohana alilia kwa huzuni sana?
From Kiswahili — Revision 3 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma ufahamu kisha ujibu maswali yafuatayo.
Yohana ni mvulana wa Gredi ya tatu, ana paka wawili. Yeye anawapenda paka wake sana. Anapotoka shuleni, yeye hufika nyumbani haraka ili awalishe na acheze nao. Siku moja alifika na hakumpata mmoja wao. Alishikwa na wasiwasi kwani hajawahi kuwaacha watoke nje peke yao. Alimtafuta kila mahali. Jirani yake mmoja alimwambia aende amtafute barabarani. Yohana alipoenda alimpata paka wake amelala kando ya barabara. Alikuwa amefariki baada ya kukanyagwa na lori, alilia kwa huzuni sana.
4. Kwa nini Yohana alilia kwa huzuni sana?
Answer
paka wake alikufa baada ya kukanyagwa na lori
Paka wake alikuwa amefariki baada ya kukanyagwa na lori.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Kwa nini Yohana alishikwa na wasiwasi siku moja alipotoka shuleni?Question 10
- SEHEMU YA D: SARUFI 1. Tumia 'sisi' 'mimi' 'wewe' 'nyinyi' na 'wao' kujaza pengo zilizoachwa wazi. a) ___ nitaenda…Question 11
- b) ___ tutasafiri kesho.Question 12
- c) ___ ulinyunyuzia kabeji maji.Question 13
- d) ___ wanaishi jijini Mombasa.Question 14
- e) ___ mtapita mtihani.Question 15