CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 26
Neema na ndugu zake waliona wanyama gani shambani?
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali.
Wiki iliyopita Neema na ndugu zake walienda kumtembelea shangazi yao kijijini. Shangazi yao ni mkulima. Yeye hufuga wanyama mbalimbali kwenye shamba lake. Waliwaona ng'ombe, paka na punda. Waliwaona pia kuku, bata na batamzinga. Neema na ndugu zake walifurahi sana kuwaona wanyama hawa.
29. Neema na ndugu zake waliona wanyama gani shambani?
Answer
Ng'ombe, paka na punda.
Waliwaona ng'ombe, paka na punda (na pia kuku, bata na batamzinga).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.