CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 27
Shangazi yao alikuwa anafanya kazi gani?
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali.
Wiki iliyopita Neema na ndugu zake walienda kumtembelea shangazi yao kijijini. Shangazi yao ni mkulima. Yeye hufuga wanyama mbalimbali kwenye shamba lake. Waliwaona ng'ombe, paka na punda. Waliwaona pia kuku, bata na batamzinga. Neema na ndugu zake walifurahi sana kuwaona wanyama hawa.
30. Shangazi yao alikuwa anafanya kazi gani?
Answer
Mkulima.
Makala yanasema: "Shangazi yao ni mkulima."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.