CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 1
KUSOMA Soma kifungu hiki kwa sauti.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 3) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Juma na Yakobo ni wavuvi. Wao huvua samaki kila siku. Wao huvua kabla ya mvua kukaribia. Samaki hao huwauza sokoni. Familia yao hupenda kula samaki. Watu wengi hununua samaki wao.
KUSOMA
Soma kifungu hiki kwa sauti.
Answer
Juma na Yakobo ni wavuvi. Wao huvua samaki kila siku. Wao huvua kabla ya mvua kukaribia. Samaki hao huwauza sokoni. Familia yao hupenda kula samaki. Watu wengi hununua samaki wao.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kila kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.