naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 25

Kwa nini walifurahi?

From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali.

Wiki iliyopita Neema na ndugu zake walienda kumtembelea shangazi yao kijijini. Shangazi yao ni mkulima. Yeye hufuga wanyama mbalimbali kwenye shamba lake. Waliwaona ng'ombe, paka na punda. Waliwaona pia kuku, bata na batamzinga. Neema na ndugu zake walifurahi sana kuwaona wanyama hawa.

28. Kwa nini walifurahi?

Answer

Walifurahi kuwaona wanyama.

Neema na ndugu zake walifurahi sana kuwaona wanyama hawa.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test