CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 3 Exam 2025 · Question 33
SEHEMU YA 4: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu 'RAFIKI YANGU'.
From Kiswahili — Mid-Term Assessment 2025 (Set 13) · 5 marks · Topic: Kuandika, Kuandika Sentensi
SEHEMU YA 4: KUANDIKA
Andika sentensi tano kuhusu 'RAFIKI YANGU'.
Answer
Rafiki yangu anaitwa Neema. Ana miaka saba. Tunasoma darasa moja. Tunacheza pamoja. Ninampenda rafiki yangu.
Andika sentensi tano kuhusu rafiki yako. Unaweza kutumia jina la kubuni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- ZOEZI A Jibu maswali kwa sauti. 1. Mahali ambapo watu hupata matibabu ni wapi?Question 1
- Ni vitu gani hupatikana hospitalini?Question 2
- Maziwa yana rangi ipi?Question 3
- Watu huvalia nini wakati wa jua?Question 4
- Taja haki mbili za watoto.Question 5
- ZOEZI B: KUSOMA KWA SAUTI 1. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Question 6