CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 3 Exam 2025 · Question 6
ZOEZI B: KUSOMA KWA SAUTI 1. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
From Kiswahili — Mid-Term Assessment 2025 (Set 13) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
ZOEZI B: KUSOMA KWA SAUTI
1. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
Answer
Familia ya Bwana Juma ina watoto watatu. Watoto hawa ni Amani, Neema na Baraka. Bwana Juma ni daktari. Mama yao ni mwalimu. Kila Jumapili, familia hii hufanya sherehe ndogo nyumbani kwao. Watoto huandaa michezo na kushiriki hadithi walizojifunza shuleni. Mama hupika chakula kitamu. Baba naye huwasimulia hadithi za zamani. Baada ya chakula wao huketi pamoja na kuzungumza kuhusu mipango yao ya wiki.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.