CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 3 Exam 2025 · Question 4
Watu huvalia nini wakati wa jua?
From Kiswahili — Mid-Term Assessment 2025 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Jibu maswali kwa sauti. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa Kiswahili.
4. Watu huvalia nini wakati wa jua?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Kofia na nguo nyepesi.
Wakati wa jua tunavaa kofia na nguo nyepesi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.