CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 3 Exam 2025 · Question 27
e) Mama alipika chakula hiki ___ tukakula chote.
From Kiswahili — Mid-Term Assessment 2025 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vielezi
e) Mama alipika chakula hiki ____ tukakula chote.
- Avizuri
- Bvibaya
- Cpolepole
- Dharaka
Answer
A. vizuri
Alipika vizuri, tukakula chote.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Andika kinyume. a) ChekaQuestion 28
- SEHEMU YA 4: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu 'RAFIKI YANGU'.Question 33
- ZOEZI A Jibu maswali kwa sauti. 1. Mahali ambapo watu hupata matibabu ni wapi?Question 1
- Ni vitu gani hupatikana hospitalini?Question 2
- Maziwa yana rangi ipi?Question 3
- Watu huvalia nini wakati wa jua?Question 4